KAMA ULIKUA HUJUI BASI HII NDO LIST MPYA YA MABILIONEA WA AFRIKA? JE UNAJUA KUA BAKHRESA KAZIDIWA MSHIKO NA HUYU JAMAA?


dangote
Mtandao wa Forbes umetoa list mpya ya matajiri 50 kutoka Africa na vyanzo vya pesa zao,umri wao pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki. List imekuwa topped na mnigeria Aliko Dangote(kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja, nae si mwingine ni Rostam Azizi. Wabongo wengine ni Reginald Mengi aliyeshika namba 34, kisha Bakhresa aliyeshika namba 38 ambaye wamelingana na bwana Mo Dewji. Hao ndo wabongo walioweza kushika namba wengine wote chaliiiiii Cheki list yote hapa
1
2
3
4

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget