Basi la MTEI EXPRESS lacdhomwa moto na vijana wa bodaboda Baada ya kumgonga dereva wa bodaboda na kusababisha vifo vya watu watatu. Watu watatu(3) waliokuwa kwenye bodaboda wamefariki dunia mara baada ya basi la Mtei kugonga bodaboda hiyo Basi hilo lilikuwa likitokea Singida kwenda Arusha mapema leo,ripoti zinasema wanabodaboda wengine walichoma basi hilo,mara baada ya kuamuruabiria wote kushuka, source kyiyaan olekiapi Unknown Share to: Twitter Facebook URL Print Email
Post a Comment