BREAKING NEWS: Watu wasiojulikana wanaosadikiwa kua ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana maramoja. Tukio hilo limetokea muda huu saa 4, ktk tawi la benki hiyo iliopo kinondoni eneo la bakwata likihusisha watu watatu waliokua na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola. Source: EATV facebook page.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.