Nje: Kipa wa Chelsea, Petr Cech
akisaidiwa kutoka nje baada ya
kuumia dakika ya 17 katika Nusu
Fainali ya kwanza ya Ligi ya
Mabingwa Ulaya usiku huu dhidi
ya wenyeji Atletico Madrid Uwanja
wa Vicente Calderon. Timu hizo
zilitoka 0-0. Nafasi ya Cech
ilichukuliwa na Schwarzer
aliyemalizia mcheo vizuri.
Post a Comment