Baada ya uvumi kuenea zaidi na
zaidi kuwa Prezzo anatoka
kimapenzi na mwanadada Vera
Sidika, Prezzo na Vera wa meamua
kuzidis ha kuwa midomoni mwa
mashabiki wao baada ya kuamua
kuachia picha ikiwaone s ha wakiwa
katika dimbwi kubwa la mahaba,
na wa wili hao kila wauli zwap o
kuwa wapo kwenye mahusia no
wamekuwa hawana jibu la moja
kwa moja na mara nyingine
wanasema bado muda wake,
Tazama picha hapo chini
ikimuonesha Prezzo akiwa kwenye
dimbwi kubwa la Mahaba na Vera
Sidika
Post a Comment