Jana nilibahatika kuwa mtu wa kwanza
kumhoji superstar Diamond Platnumz
mara tu baada ya kuwa nominated
kwenye BET Awards za Marekani kwenye
kipengele cha Best International Act.
Diamond ameeleza furaha yake kupitia
hapa hapa Jestina George online TV.
Check him out below.
Post a Comment