Paka mwenye jina Marsik wa Urusi
amesafirishwa na ndege binafsi ya
Paramount Business Jets (PBJ), kutoka Urusi
hadi Marekani kwa gharama ya dola laki
moja ambazo ni sawa na shilingi milioni 162
za Tanzania.
Akisafiri kutoka Urusi hadi Marekani, Marsik
anadaiwa kupata huduma ya nguvu kabla
hajapanda na ndani ya ndege hiyo.
Vyeti vyake vya afya vinavyoonesha chanjo
alizopata alivipata saa 24 kabla ya safari
kuanza.
Tajiri huyo anadai kutumia kiasi chote hicho
ili kuhakikisha kuwa paka wake anafika
Marekani salama na kuepuka kunyanyasika
ama kifo kwakuwa baadhi ya wanyama
wanaosafiri kwa ndege za kawaida huwekwa
kwenye sehemu ya mizigo hupoteza maisha.
Post a Comment