WIMBO MPYA WA MRISHO MPOTO ALIOIMBA KWA AJILI YA WANAHABARI

Na Izack mwacha Arusha             
Jaji mstaafu Mark Bomani
leo amezindua rasmi video
ya wimbo wa waandishi wa
habari ujulikanayo kwa jina
la Uhuru wangu pamoja na
albamu mpya ya msanii wa
mziki wa nyimbo za asili
Mrisho Mpoto ijulikanayo
kwa jina la Waite katika
kilele cha maathimisho ya
uhuru wa vyombo vya habari
duniani jijini Arusha.
Uhuru wangu uko wapi
mwanahabari mie,kalamu
yangu,sauti yangu kamera
yangu leo ndio kaburi langu
mie Huo ndio wimbo wa
kundi la Mrisho Mpoto Band
ambalo ulikuwa
ukiwaburudisha wanahabari
katika uzinduzi wa albamu
Mrisho Mpoto
Band,unaoelezea mambo
mbalimbali wanayokumbana
nayo wanahabari wa vyombo
mbalimbali vya habari.
Akighani mashairi ya wimbo
huo katika uzinduzialisema
poleni sana misa
Tanzania,TMF,MOAT,UTPC ,
TCRA kama mtu ile timu ya
watu watano tuyioituma
Ujerumani ,Norway,Sweden
ipo wapi ripoti yake
kiongea wakati wa uzinduzi
wa albamu hiyo pamoja na
wimbo huo wa wanahabari
msanii mrisho mpoto
alisema kuwa yeye alifarijika
sana pale alivyofatwa na
wanahabari na kumuomba
awatungie wimbo ambao
unawahusu wanahabari
pamoja mambo ambayo
yanawakabili.
Alisema kuwa wamekaa
wakashauriana na timu yake
na bendi yake kuwa watu
wasanii wengi wamekuwa
wakizindua albamu kwa
kuweka viingilio vikubwa
kualika watu wengi lakini
yeye binafsi ameamua
kuzindua albamu hii katika
siku hii ya waandishi wa
habari kwa kuwa wamemtoa
mbali na ana kitu cha
kuwapa zaidi ya kuwapa
zawadi hii ya kuzindua
albamu yake mbele yao.
Alibainisha kuwa mbali
nakuzindua albamu hiyo pia
kwa kuwa waandishi
wamempa hadhi ya
kuwatungia wimbo pia
anajitolea kuweka wimbo
huu wa waandishi wa habari
ndani ya albamu yake ili kila
mtanzania na mshabiki wake
ambaye atanunua albamu
yake aukute wimbo ndani ya
albamu yake.
"Hii albamu yangu itakuwa
na nyimbo zangu zote ikiwa
na wimbo wa nikipata nauli
adi nyimbo zake zote ambazo
zinajulikana na kiukweli
najisikia kulia sana kupewa
heshima hii nzito ya
kuzindua albamu yangu na
ata jana nilivyokuwa nakuja
uku nilikuwa na zunguma na
mh bomani kuwa hii kwangu
itakuwa ni historia katika
maisha yake"alisema mpoto
Katika wakati wimbo huu
ukiendelea wanahabari
walionekana wakitoa
machozi kwa kuuzunishwa
na tenzi zilizopo katika
wimbo huu kwani msanii
huu ameuimba
kiualisiazaidi.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget