BOKO HARAM WABADILI MSIMAMO:

BOKO HARAM WABADILI MSIMAMO:Kikundi cha ugaidi nchini Nigeria kilichowateka wanafunzi zaidi ya mia mbili chabadili msimamo wake kwenye mazungumzo na serikali ya nchi hiyo dakika za mwisho juu ya wasichana waliowateka wakihofia kukamatwa.Dk.Steven David ambaye ni raia wa Australia aliye katika mazungumzo hayo ameimbia BBC kuwa makamanda wa kikundi hicho walibadili msimamo dakika za mwisho wakati matarajio mazuri yalipokaribia kufikiwa,kwa hofu ya kukamatwa kwao,huku akisema waliwaona baadhi ya  wasichana hao wakioga na kuwapikia chakula kikundi hicho,aliongeza kuwa mazungumzo ya amani ndiyo pekee yatakayokuwa suluhisho la tatizo hilo.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget