JAMANI DADA ZETU HUU NI ULIMBUKENI AU NDIO MAISHA YA KISASA?MTAZAME DEMU WA MSANII YOUNG KILLER AKIWA AMEJIFUNIKA KWA PESA HUKU KIFUA CHAKE KIKIONEKANA

Picha hizi zimezua story kwenye
mitandao mbali mbali ya kijamii, baada
ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka
Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa
juu ya kifua chake huku sehemu ya
chuchu upande mmoja ikiwa wazi.
Pengine ni furaha ya pesa imesababisha
mpigaji picha na mpigwaji kutokuona
hiyo sehemu, pia imeleta mtazamo
tofauti kwa watu kuwa Rapper huyo
ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa
hivyo kama pesa zinampa mzuka wa
kufanya haya. CHANZO HASSBABYTZ

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget