Kufanya mapenzi na wasichana wengi kunatibu ugonjwa huu hapa

Kulala na wanawake wengi kunapunguza,

hatari ya kupatikana na ugonjwa wa saratani
ya kibofu cha mkojo,kulingana na utafiti.
Katika utafiti uliochapishwa katika jarida la
saratani,Watafiti kutoka chuo kikuu cha
Montreal wamebaini kwamba ikilinganishwa na
wanaume walio na mpenzi mmoja katika maisha
yao yote,kulala na zaidi ya wanawake 20
kunapunguza uwezekano wa kupatikana na
ugonjwa huo kwa asilimia 28.
Wanaume 3,208 walishiriki katika utafiti huo
ambapo kati yao Wanaume 1,590 walipatikana
na ugonjwa huo kati ya Septemba mwaka 2005
na Agosti mwaka 2009.
Kwa jumla watafiti hao walibaini kwamba
wanaume wenye saratani ya kibofu cha mkojo
kuna uwezekano mara mbili kwa wao kuwa na
watu wa familia zao wenye saratani.
Hatahivyo ushahidi unaonyesha kwamba idadi
kubwa ya wapenzi wa kike miongoni mwa
wanaume inapunguza tishio la ugonjwa huo.
Mwanamume anapojamiana na zaidi ya
wanawake 20 katika maisha yake,tisho la kupata
ugonjwa huo linapoungua kwa asilimia 28 mbali
na asilimia 19 kwa aina yoyote ya ugonjwa wa
saratani.
Utafiti huo pia umebaini kwamba mmoja kati ya
wanaume wanne wa kiafrika hupatikana na
saratani

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget