Watangazaji wa redio MARIA TANZANIA Katika shereh ya kuanza mwaka iliyofanyika january 9 mwaka huu picha za matukio mbali mbali zipo hapa.


Mkurugenzi wa matangazo Radio maria tz Father JOHN MAENDELEO Akiongoza 
ibada katika sherehe ya kuanza mwaka
Mhamasishaji msaidizi wa Radio Mria TZ Akisoma neno katika ibada ya
sherehe ya kuanza mwaka

kushiriki EKARIST takatifu

Mwisho wa Ibada

Mtangazaji wa Redio Maria TZ bwana IZACK MWACHA  Akifungua shampain kwenye sherehe ya kuanza mwaka

mhamasishaji wa redio maria bi VERONIKA MWITA Akizungumza jambo katika sherehe ya kuanza mwaka

Padre John Maendeleo akitafasiri lugha ya Kiitaliano kutoka kwa mratibu wa radio maria Afrika
bwana Paolo Tarful

Mziki Aina ya Twist ulichukua nafasi kubwa kwenye viwanja vya radio maria





Raisi wa Redio Maria TZ Bw Hamphrey Kira Akiwa na mkewe Silvia Kira kwenye sherehe ya kuanza mwaka

Watangazaji vinara wa Radio maria Fredy willium akiwa na julieth munga 
kwenye shereh hizo za kuanza mwaka



Familia ya Redio madia ikijiandaa kucheza katika sherehe sherehe ya kuanza mwaka
Labels:

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget