"SIKU CHACHE BAADA YA GAZETI KUMTAJA DIAMOND KAMA MOJA YA MSANII MTAJIRI DIAMOND AIBUKA NA KUTAJA SIRI YA MAFANIKIO YAKE NA KWAMBA YEYE HATUMII NDUMBAAA"
Huenda ile story ya kwamba Diamond amepata na anaendelea kupata mafanikio kutokana na kutumia waganga wa kienyeji si kweli!! You never know! Staa huyu ambaye gazeti la Daily Nation limemtaja kuwa miongoni mwa wasanii wa Bongo Flava matajiri zaidi, yupo karibu mno na mama yake mzazi na pengine ndio maana anafanikiwa, nani kama Mama? Vipi kama mafanikio yake ni thawabu halisi kutoka kwa Mwenyezi Mungu?
Post a Comment