MBUNGE WA MBEYA MJINI ALIA NA WIMBO WA ROMA
[2030 ]WENYE MSTARI UNAOMUHUSU

Msanii wa kwanza kufanya album hapa Bongo na kwa sasa ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia tiketi ya CHADEMA, Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II na wengi hupenda kumuita Sugu ameonyesha wazi kukerwa na ambao ameuimba ROMA katika ngoma yake ya 2030, Sugu alichodai ROMA ana kurupuka na hajui anachokifanya.
Akizungumza katika kipindi cha TV wiki iliyopita Sugu amesema kuwa msanii huyo anapaswa kuijua misingi ya hip hop na pia Sugu amemuonya na kumtaka roma awe muangalifu na anachokiandika na kukitowa kwa jamii na sio kukurupuka kama mtu aliyestuliwa toka usingizini.
Post a Comment