Askofu mkuu wa Canterbury amesema amazipokea taarifa za kujiuzulu kwa Papa Benedict wa XVI kwa huzuni mkubwa ingawa anaelewa undani wa hatua yake, kiongozi wa Ujeremani Angela Merkel amesifu mchango wa Papa wa kupendekeza mjadala wa makanisa, waislamu na wayahudi.
Kasema uamuzi na hatua ya Papa Benedict XVI kujiuzulu mwishoni mwa mwezi huu baada ya takriban miaka minane kuliongoza Kanisa Katoliki kwa hoja kuwa umri wake wa miaka 85 ni mkubwa kiasi kwamba hawezi kuendelea kuhudumu zaidi ya umri huo, ni sahihi
Makao makuu ya Kanisa Katoliki huko Vatican yanasema yanatarajia Papa mpya atachaguliwa kabla ya mwisho wa mwezi wa tatu na sherehe za Pasaka ambapo kama hufahamu, tabia ya kujiuzulu kwa Papa si ngeni, ingawa ni tukio jipya katika karne za hivi karibuni.
Mwandishi wa BBC Roma Alan Johnston anasema habari hizi zimetokea kama radi, hakukua natetesi yoyote juu ya uwezekano kama huu na hata msemaji wa Vatican Father Federico Lombardi amesema hata wasaidizi wa Papa wa karibu mno hawakuwa na
Post a Comment