MLIMA Kilimanjaro umeingizwa katika maajabu saba ya Afirica huku maajabu mengine yakiendelea kutangazwa ukiwemo na mto Naili.
Katika sherehe za kutangazwa maajabu hayo saba ya Afirica zilifanyika jijini Arusha mbele ya WaziriMkuu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Anna Makinda, Mawaziri na Wabunge mbalimbali akiwemoMbunge wa Arusha Mhe Godbles Lema.
Post a Comment