Ni
wiki kadhaa sasa Rais wa Masharobaro nchini Tanzania, Bob Junior yupo
barani Ulaya katika ziara kwenye nchi mbalimbali akipiga mkwanja kama
kawa. Akiwa huko amekuwa akipost picha mbalimbali za show zake na jinsi
anavyokula bata.
Weekend hii ameshare picha ya muonekano wake mpya wa nywele na mashabiki wengi wameonekana kuupenda.
Hitmaker huyo wa OYOYO ameandika kwenye picha hiyo, “New look rais wa masharobaro bado siku 3 nisheherekeeee siku yangu yaku zaliwa upya love u all
Hitmaker huyo wa OYOYO ameandika kwenye picha hiyo, “New look rais wa masharobaro bado siku 3 nisheherekeeee siku yangu yaku zaliwa upya love u all
Post a Comment