Mwenyekiti
wa makampuni ya IPP Reginald Mengi ametoa ya moyoni kwa wote wenye
mpango wa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka miwili
ijayo.
Bwana
Mengi ameyatoa maombi yake ya moyoni na kuyaweka hadharani kupitia
akaunti yake ya twitter June 7, na hiki ndicho alichokiandika.
“Nawaombea Mungu wanaotaka Urais wasipokee mshiko wa mfanyabiashara fisadi mkubwa ambaye pia ni kinara wa madawa ya kulevya.”
Swali ni mfanyabiashara gani, hilo linaweza kuwa ni jiwe gizani kama yupo kweli aliyetajwa litakuwa limemfikia.
Na kama kuna msomaji wetu anayemjua, ANARUHUSIWA KUMTAJA kwenye COMMENTS hapo chini.. source Jambo tz
Post a Comment