Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya
CCM, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Kikao hicho kilifanyika kwa ajili
ya kukutana Mbunge wa Bukoba mjini Khamis Kagasheki, Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Kagera, Constansia Buhiye, Katibu wa CCM mkoa wa Kagera Abedi
Mushi, Mwenyekiti na Katibu wa CCM wilaya ya Bukoba mjini na Meya wa
Manispaa ya Bukoba Anatory Amani, kuhusu mgogoro wa madiwani wanane wa
CCM Manispaa ya Bukoba. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana.CHANZO :mjengwa
Post a Comment