Kuna taarifa za kushtukiza jijini Arusha ya kuwa
mwanamke mmoja amepigwa risasi baada ya kumtolea askari wa ulinzi benki
Bastola baada ya kupaki gari eneo lisilo sahihi na askari kuamua kulitoa
upepo
Baada
ya kitendo hicho cha askari kulitoa gari hiloupepo mwanamama huyo kwa
jazba alitoa silaha yake ndogo kwa lengo la kumtishia askari huyo
lakinia askari akaamua kujibu shambulizi kwa kuwahi mama yule na kumpiga
risasi ya bega jambo ambalo limepelekea kuwahishwa katika hospitali ya mkoa wa Arusha wakati uchunguzi unaendelea, fuatilia izabreez.blogspot.com kwa maelezo zaidi
Post a Comment