MKUTANO MKUU WA MAAFISA WAKUU WA JESHI LA POLISI WAANZA LEO MJINI MOSHI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Jumbe Mangu akisisitiza jambo kwenye mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika Chuo cha Taluma ya Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro. Mkutano huo umebebwa na kauli mbiu isemayo “Zingatia Weledi katika Kutoa Huduma Bora Kwa Jamii”.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Paul Chagonja akisisitiza kwa Makamanda wa mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu hususani katika kushughulikia migogoro, kwenye mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget