MSANII WA GOSPEL JOHN LISSU NA MKEWE WAPATA WATOTO
MAPACHA WATATU!!!
Blog imezungumza na Mwanamuziki wa Injili John Lisu Mchana huu na kuitaarifu kuwa Mungu
amembariki kwa watoto mapacha watatu Wawili wakiwa Wa Kiume na Mmoja wa Kike, Mama na
Watoto Wanaendelea vema.
Post a Comment