VITIMBI:TRAFIKI ASIMAMISHA GARI LA RAIS...SOMA HAPA KILICHOMKUTA BAADA YA KUMSIMAMISHA RAIS!!!

Hii imetokea kenya ambapo hivi juzi rais uhuru alikuwa akipita kuelekea
katika hotel moja kwenye mkutano .... askari ambaye alikua zamu
barabarani siku hiyo alilisimamisha gari ...
ndipo rais alijaribu kama kumpita lakini askari huyo bila kujua
alisimama imara ,,,, ndipo uhuru aliposhusha kihoo na kusema " ni mimi
officer fungua" hata hivyo maaskari wamekuwa na furaha na utawala wa
raisi huyo kwani wanadai siku hizi hawapati kazi ya kucontrol magari
kwa ajili ya msafara wa rais kama ilivyokuwa..

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget