Kumekua na kurasa(accounts) mbalimbali zenye majina ya
Mh.Edward Lowasa Waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania katika mitandao ya kijamii kama vile
facebook,twitter,instagram, n.k
zikionesha mmiliki wake ni Mh.Edward Lowassa
Ukweli ni kwamba kurasa hizo hazimilikiwi na Mh.Edward Lowasa
mbunge wa Monduli.
Kwa maana hiyo chochote kinachoandikwa au kuchapishwa katika
kurasa hizo hazihusiani kwa namna yoyote na Mh.Lowasa
Hata hivyo Mh Lowasa anawashukuru wote wenye kumiliki
account hizo bila ruhusa yake,kwani anaamini wamesukumwa kwa
mapenzi yao kwake.
Imetolewa na
Ofisi ya Mh.Edward Ngoyai Lowasa
Mbunge wa Jimbo la Monduli.
Post a Comment