Chama kipya cha Siasa chajitambulisha rasmi
leo baada ya kupata usajili wa muda.
Kinaitwa
Alliance for Change and Transparency (ACT-
Tanzania), Mwenyekiti wake ni Kadawi Lucas
Limbu na Katibu Mkuu ni Samson Mwigamba.
Misingi yake ni Uzalendo, Usawa, Uadilifu,
Demokrasia ya Kweli, Uwazi na Uwajibikaji.
Je, vyama vya siasa 21 vilivyopo hivi sasa,
vinakosa msingi upi kati ya misingi hiyo ya
ACT-Tanzania?
Post a Comment