Ni mchmgaji wa kanisa la victory assemblis of god lililoko kw morombo jijini arusha ambao leo katika sherehe ya wana wake kanisani hapo wamempa zawadi ya nyumba mchukaji wao ikiwa ni kama zawadi ya upendo wake kwao "haiwezekani mchungaji wetu kukaa katika nyumba ya kupanga kwa muda wote huo"alisema mama angel ambae ni makm mwenyekiti wa wanawake kanisani hapo....
.Itaendelea
Post a Comment