Mwakilishi wa Tanzana katika mkutano huo
Ndg. Phares Magesa ambaye ni Mkurugenzi
wa ICT- TPA akiwa mkutanoni katika ukumbi
wa Umoja wa Ulaya, Brussels.
Tanzania yashiriki mkutano wa 3 wa kamati ya
kusimamia mradi wa kupashana habari ili
kupambana na uhalifu baharini, 3rd Maritime
Security & Safety Information Sharing for
Capacity building (MARSIC ) unaofanyika kwa
kuratibiwa na Umoja wa Ulaya , Brussels,
Ubelgji 3-4 Machi, 2014.
Tanzania ni moja ya nchi zenye vituo hivyo
vya kupashana habari (Informations Sharing
Centres) kilichopo katika Mnara wa kupngoza
Meli cha Feri (Control Tower) kinaendeshwa na
TPA kwa kushirikiana na Sumatra na idara
nyingine za ulinzi na Usalama za Serikali
kiutekelezaji.
Post a Comment