Show za kimataifa anazofanya
Davido na utajiri wa familia yake
unamweka kwenye nafasi nzri na
kupata kila atakacho kwenye
maisha. Ni Hit maker mkubwa
Africa kwa sasa na Ukifuatilia
radio na tv kwa siku hutokosa
kukutana na nyimbo wa Skelewu
ama Aye za Davido.
Ametumia Instagram yake
kuonyesha gari mpya aliyoagiza
na kwamba inakaribia kufika. Gari
hii ni ya mwaka 2014 aina ya
Mercedes Benz S63 AMG ambayo
thamani yake kwa sasa ni
dola140,905 ambazo nikama
milioni 200 za Tanzania.
Post a Comment