Breaking News: Manchester
United yatangaza rasmi uamuzi
wa kumfukuza Moyes – hiki
ndicho walichopost Twitter
Kocha David Moyes ameondolewa
rasmi kwenye majukumu yake ya
ukocha katika klabu ya
Manchester United. Taarifa rasmi
ya klabu hiyo imetolewa kupitia
mtandao wa Twitter unaweza
kuicheki hapo chini……
Post a Comment