PICHA YA PREZZO AKIMPIGA BUSU LA HUBA VERA SIDIKA YAZUA UTATA..!! INASEMEKANA NDIYE MPENZI WA PREZZO KWA SASA

Kama wote tunavyofahamu,
curvaceous Vera Sidika alikuwa
msichana kiongozai katika video
kali mpya ya Prezzo ‘My Gal ‘
ambayo ipo katika albamu yake
ijayo ‘Rapcellency.
Hii ni licha ya ukweli kwamba
Huddah alikuwa mpenzi wa Prezzo
wa zamani na ni Nemesis wa Vera
Sidika . Hata hivyo Vera amepost
hii picha ya Prezzo akimpa busu
kali mwanana dada huyo anaye
sumbua vibaya. na kuzua maneno
ya kuwa Prezzo na Vera ni
wapenzi kwa sasa. Prezzo na Vera
wamekuwa na ukaribu ambao si
wa kawaida na kila waulizwapo
kuwa ni wapenzi wamekuwa
wakipinga hilo swala na kusema
wao ni marafiki tu.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget