Kuna mambo mengi sana ambayo
husabisha kuhisi hamu ya kuwa
na mwanaume au mwanamke kila
mara hapa nitaorodhesha
machache yale ya muhimu.
1) Upweke mara nyingi hupelekea
sana akili ya mtu kuhama na
kutafuta kitu mbadala cha kuweza
kujiliwaza na mara nyingi
huchagua raha za kimwili kama
kufanya mapenzi au kuwa na
mwenza karibu.
2) Story za Mapenzi kama vile
kusoma vitabu vya mapenzi
kuangalia picha zenye mvuto wa
kimahaba pia kusikia habari hizo
vyote hivi vinaweza
kukusababishia hamu kubwa sana
ya kufanya mapenzi.
3) Kuzoea sana kufanya tendo hilo
na mtu ambaye uko karbu nae, na
kisha mtu huyo kuondoka au
kutenga nae, hii hali inaweza
kukupa
shida sana kwani huduma ya
karibu tena hauna hivyo utaishia
tu kuwa na hamu sana ya tendo
hilo na kuanza kuhangaika
kutafuta njia
mbadala.
4) Pombe na vilevi vingine pia
huleta sana hamu ya tendo la
ndoa wakati mwengine watu
hufikia hata kubaka kwa
kushindwa kujizuia.
Haya ndio machache makubwa
yanayoweza kusababisha mtu
kupatwa na hamu ya tendo La
ndoa mara. Unaweza
kuyaepuka…!!?
Post a Comment