"SIKUWAHI KUMTONGOZA WEMA SEPETU NA MWANAUME ANAYEMTONGOZA HANA KAZI MAANA WEMA ANAJIPELEKA MWENYEWE, SIYO DEMU" YULE CHALZ BABA

Rais wa Mashujaa Band Charles
Gabriel aka Chalz Baba ameibuka
baada ya kuuliza swali na
mwandishi wetu kuhusu ni nani
alianza kumtongoza mwenzake
hadi kuanza mahusiano yenu.
Chalz Baba alifunguka hivi
“Sikuwahi kumtongoza bali nilikuta
nimesha-date nae hata hivyo kwa
mwanaume anaye mtongoza
Wema hana kazi, coz mimi siamini
kama Wema anatongozwa naamini
huwa tu anaenda mwenyewe
ahahaaahaahah yule siyo demu
kabisa duh! asijisifu kuwa
nilishawahi kumtongoza
unanionaje kwanza nina jina
kubwa bwana watu wanajileta
wenyewe.” Chalz.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget