MR NICE ACHEZEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI soma hapa kujua zaid....

ukweli kwamba Mungu alisaidia
tu kitendo cha Mr Nice kupigwa
na imekuwa nafuu kwake kuliko
tukio ambalo huenda lingekuwa
baya sana kwenye maisha yake la
kuliwa kiboka kwa vijana
waliokuwa wamepanga
kumdhalilisha mwanamuziki huyo
mwenye heshima kubwa Afrika
Mashariki na kati.
Baada ya gazeti moja jana
Jumatatu kutoa taarifa za kupigwa
kwa Mr Nice kisa kikiwa mke wa
mtu Xdeejayz imezama ndani
kufatia ishu hiyo na kupata
mkanda mzima toka kwa watu
walioshuhudia tukio hilo
waliiambia Xdeejayz kuwa '
Jamani huyu kijana anapaswa
kumshukuru Mungu kwa adhabu
hii ya kupigwa kuliko nia
waliyokuwa wamepanga
kumfanyia ya kwenda kumla uloda
kisha kumpiga picha hizo za aibu"
Alisema mama huyo ambae
alimuonea huruma sana
mwanamuziki huyo wakati
akipewa kipigo

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget