Rihanna hajawahi kuficha
mapenzi yake kwa mmea wa
bangi na hivyo halikuwa jambo
gumu kujiunga na mamilioni ya
wavutaji wengine duniani
kwenye siku maalum ya bangi
April 20. Siku hiyo kila mwaka
imetengwa na wavutaji wa
bangi kuonesha mapenzi yao
kwa mmea huo.
Tazama baadhi ya picha za
Rihanna akiutukuza mjani kwa njia
mbalimbali.
Post a Comment