BAADA YA TAARIFA KUHUSU KUVUNJIKWA KWA KUNDI LA P- SQUARE, HII NDIYO KAULI ALIYOSEMA MSEMAJI WA KUNDI HILO..!!

Wiki hii mitandao ya Nigeria
iliripoti kuwa kulikuwa na ugomvi
mkubwa kati ya mapacha
wanaounda kundi la PSquare,
Peter na Paul Okoye na kwamba
walitaka kupigana wakati wakiwa
mazoezini.
Habari hizo zilichochewa na tweet
ya kaka yao mkubwa ambaye ni
meneja wao, Jude Okoye
iliyootafsiriwa na mitandao hiyo
kuwa huenda ameachana na kundi
hilo baada ya kuwepo ugomvi kati
yake na ndugu hao kutokana na
msimamo wake wa kutohudhuria
ndoa ya kisasa ya mdogo wake
itakayofanyika Dubai.
Mitandao hiyo iliandika kuwa Jude
Okoye hapatani kabisa na mke wa
Peter Okoye, Lola Omotayo.
“After over 10 years of hard work,
it’s over. Am done.” Alitweet Jude
Okoye.
Hata hivyo, msemaji wa kundi hilo
anaejulikana kama Bayo Adetu
amekanusha habari hizo wakati
akiongea na Premium Times na
kudai kuwa hafahamu habari hizo
zimetoka wapi.
“I am too busy to give some
wanna be blogger traffic, I don’t
know where that report is coming
from. Maybe they just want to get
traffic to their site. It’s baseless
and untrue.” Amesema Bayo
Adetu.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget