Nitakupenda nitakutunza
nitakuthamini kama mwanangu
huko mikono salama.
Ni sauti ya mwanadada aneth
aliyemuokota mtoto mdogo wakati
ametoka kwenye biashara yake ya
kuuza mwili usiku. Alikuwa mtoto
wa kiume mdogo sana mwenye
umri wa miezi 5. Aliyetupwa na
mtu hasiyefahamika!
Maisha ya aneth si maisha mazur
sana alikuwa binti aliyepanda
chumba kimoja na alikuwa anaish
na mdogo wake wa kiume umri wa
miaka 19 aliyefahamika kwa jina
john! John aliondoka kijijini kwao
na kuja kuish na dadayake
kutokana na ugumu wa maisha na
kufeli elimu yake ya secondary!
Maisha yalizidi kusogea huku
aneth alipositsha kaz yake ya
ukahaba na kuingia kwenye
jukumu la kumlea mtoto alimpa
jna gift! Japo maisha yalikuwa ya
shida sana na aneth akifanya
biashara ya kuuza vitumbua lakn
walikuwa na furaha kla wakati!
Miaka 4 sasa imekatika huku john
akiwa anafanya kaz ya ukonda na
aneth akiwa anaendelea na kazi ya
kupka vtumbua!.
Shule moja iliyokuwa inatangaza
nafas za masomo bure kwa
wanafunzi 10 aneth alihamua
kumpeleka gift. Msongamano
ulikuwa mkubwa sana wa watoto
na wazazi! Na kulikuwa na
michezo mbalmbal. Aneth
alikutana na kijana 1 waliyesoma
nae msingi katika maongez yao ya
furaha ya kupoteana gift
alimponyoka aneth na kuanza
kukimbilia palipo bembea.
Ndan ya dk.10 aneth akiwa
....
Post a Comment