Baadhi
ya Waombolezaji wakiwa ndani ya Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar
wakati wa kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Shein,(kushoto) akitoa salamu ya Mwisho kwa mwili wa Marehemu Padri
Evarest Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar, Padri
Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa
Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B
Unguja,(katikati) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino
Shao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali MohamedShein,akisalimiana na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao wakati alipofika katika Kanisa laMinaramiwili
Mjini Zanzibar kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.