Breaking News:Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na Mahakama kuu Kanda ya Arusha asubuhi hii.Lema alikamatwa kwa amri ya mkuu wa mkoa wa Arusha Alhamis usiku kwa tuhuma za kuchochea wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha(IAA)kufanya fujo baada ya mwenzao kuuawa.
picha na mactaba ya izabreez.com
Post a Comment