Kumekuwa na kamtindo ka
wasanii wetu hapa TZ kuweka
picha ya vitu wanazonunua online
na wengine kuweka kwa ajili ya
mauzo ili wapate cha kuongelewa
na mashabiki wa hapa bongo.
Mwanadada anayefanya poa
kwnye tasnia ya uigizaji Wastara
Juma amewaweka mashabiki wake
katika hali ya kutokujua baada ya
kuweka picha akiwa ndani ya gari
Aina ya HUMMER na kuzua
maswali kwa mashabiki wakiuliza
ni lake au si lake.
Wapowaliyompa hongera kama
gari ni lake na wapo
waliyomponda na kusema
anatafuta kick.
Post a Comment