Godbless Lema
TANZANIA INA LA KUJIFUNZA LEO KUTOKA
SCOTLAND
Kwa vyovyote vile,kura ya uamuzi wa
wananchi wa Scotland ya kuendelea kuwa
sehemu ya Uingereza au kuwa nchi huru
inayopigwa leo na wananchi hao wa
Scotland ina maana na athari kubwa kwa
dunia nzima.
Ikiwa wananchi wa Scotland wataamua
Scotland iwe huru na isiwe sehemu ya
Uingereza tena, au wakiamua Scotland
iendelee kuwa sehemu ya Uingereza,
uamuzi wowote ule utaifundisha dunia
somo zito mno.
Uwepo Wa Scotland kwenye muungano Wa
uingereza sasa yapata miaka 307 na Leo
ndiyo siku rasmi ya kupiga kura ya maoni
aidha kuendelea na united kingdoms ama
kung'atuka
Singapore ilikaa mwenye muungano Wa
Malaysia kwa miaka isiyozidi sita na
kung'atuka 1965
Senegal na Gambia,Syria na Egypt,
Macedonia pia mifano ya nchi
zilizong'atuka kwenye muungano ni nyingi
Tunajifunza nini tunapoyaona haya?
kama Taifa tunalipi la kujifunza hapa...??
Gharama ya ukuaji wa Demokrasia ni
kukubali kwamba hata wale wasiokubaliana
nawe wana haki ya kusikilizwa.
Je Tunaisikiliza Zanzibar au
TUNAISIKILIZIA?
Lakini tujiulize NEPAL na BANGLADESH
zimeungana zamani with goodwill and only
cardinality connection tena bila
maandishi (article of union) na muungano
hauvunjiki kwanini??....
mwenzako akinyolewa zako tia maji........
Post a Comment