MASANJA AFUNGA KAZI NA MISS TANZANIA DUH CHEK ALICHOSEMA NI TETEMEKO

 MISS TANZANIAAAAAA!!! ...HIVI LUNGENGA UKOJE? ...NILIKUWA NAKUAMINIA SANA.. ...SASA MBONA UNANIANGUSHA BRO! ...HIVI HAYO MANENO WANAYOSEMA HUYASIKIIIII?? ...HIVI UNATAKA MUNGU AKUPE NINI LAKINIII? ...HIVI UNATAKA MPAKA UISIKIE SAUTI YA MUNGU NDO USHTUKE... ...AMKA BRO WAKE UPPPPPPPPPP!!...HUJAWAHI ISIKIA NYIMBO YA GOSPEL INASEMAAAAA.....Eeeeeeee Eeeeeeeeeh My God is gooodoooo everything is double double!!!! NGOJA NIKUSAIDIEEEEEEE ITA WANAHABARI WAMBIE JAMANI HAYA MAMBO HATA MM SIKUYAJUA SO TUKUTANE TENA MLIMANI CITY TAR 1/11/ KTK REDSS MISS TANZANIA TAKE 2. KIINGILIO LAKI 2 MKAMATE DAVIDO BAADA YA FIESTA ATUMBUIZE ... KULA MIHELA BRO HASHIMU... HALAFU KAMA KAWA SHOST YANGU SITTI ANAJITOKEZA ANAJIUZURU KAMA WAZIRI MKUU KAZI KWISHA, MNAMKATIA NA SITTI KIPOOZA MANENO KIDOGO MAANA WANANCHI WAMEONGEA JAMANI EEEEEEEH!!!! UNAKUWA UMEFANYA MWAKA MMOJA MISS MBILI YAAN MPAKA YA 2015 KUDADADEKIIIIIIIIIIIIIIII....

#MaanaWabongoWanaMaTidelisssssHatariii# #HalafuUjueMnawezaSemaOoohKazaaKumbeMnaoWatetea
WametoaMala3SaSiAfadharYeyeKajizaliaMalaMoja#
#MiNadhaniVigezoVyaMwakaniMissAweBikraHahahahahah

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget