Uchunguzi unaendelea katika hospitali ya
Madrid nchini Hispania kutokana na muuguzi
mmoja nchini humo kuwa mtu wa kwanza
kubainika kuwa na virusi vya ugonjwa wa
Ebola anaodaiwa kuwa aliambukizwa virusi
vya ugonjwa huo kutoka nchi za Afrika
Magharibi.
Muuguzi huyo alikuwa miongoni mwa kikosi cha
madaktari waliowati rai wamisionari wawili
waliokufa kutokana na ugonjwa huo baada ya
kurejeshwa nyumbani kwao wakitokea nchi za
Afrika Magharibi.
Hata hivyo hospitali hapo kwa sasa kuna
uangalizi mkubwa huku vifaa vya kujikinga na
vifaa vya kiafya ili kuzuia maambukizi ya virusi
vya ugonjwa huo.
zaidi ya watu 3000 kutoka Afrika Magharibi
wamekufa kutokana na ugonjwa wa Ebola katika
mlipuko wa ugonjwa huo uliotokea hivi karibuni.
Post a Comment