Tibaijuka:''Nilipokea pesa za Escrow''

Mjadala kuhusu kashfa ya uchotaji wa mamilioni
ya fedha katika akaunti ya ESCROW ya Benki
Kuu ya Tanzania umezidi kuunguruma nchini
Tanzania kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Hesabu za Serikali, PAC, na ripoti
ya serikali kuhusu kashafa hiyo.
Mambo yaliyojitokeza katika ripoti ya PAC ni
kutaja majina ya viongozi na maafisa wandamizi
wa serikali walionufaika na magao huo.
Miongoni mwao ni waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka
ambaye alizungumza na mwandishi wetu mjini
Dodoma, Ben Mwang'onda ambaye alianza kwa
kumuuliza kama kutajwa kwa jina lake
alitendewa haki

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget