Hatari Duniani, NCHI Iliyosambaza virusi vya ebola Afrika kumbe ni Marafiki Zetu soma hapa,

      
Koreas Kaskazini imeishutumu Marekani kwakusambaza makusudi virusi vya ugonjwawa Ebola na kwamba inatengeneza silaha hiyo yakibailojia ili kuwa taifa lenye nguvu zaididuniani

Taifa hilo limelazimika kufunga mipaka yakekuzuia watalii ikiwa ni pamoja na kumtenga kila
anayeingia. Ripoti ya Korean Central News Agency (KCNA) inadai kuwa aliyekuwa msaidizi wa Rais wa zamani wa Marekani, Reagan amewataarifu kuwa Marekani ilivumbua seli ya kirusi cha Ebola kwa malengo ya kuanzisha silaha ya kibailojia.

 Msaidizi huyo alitajwa kwa jina la Roberts, ambaye gazeti la The Washington Post limesema anaweza kuwa Paul Craig Roberts.
 Hivi karibuni Roberts aliandika makala kwenye blog isemayo: ‘Is The US Government The Master Criminal Of Our Time?’ Makala hiyo ilisema kuwa Marekani ilitoa dola milioni 140 kwenye kampuni moja ya dawa kufanya utafiti wa kirusi hicho na kuchagua bara la Afrika kama sehemu ya majaribio.


 Makala hiyo ilisema taarifa hiyo ilitolewa na profesa wa Liberia ambaye hakutajwa jina. Iliongeza kuwa Marekani ilitengeneza kinga ya kirusi hicho lakini ilizuia kujulikana duniani kwa faida yake yenyewe.. sourse, mpekuzi

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget